'Nipo tayari kumwambia Rais ukweli kuhusu vita ya dawa za kulevya ' -Mlinga

10 Feb 2017 05:18 65
153,500
Millard Ayo Download
452 40

Moja ya Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia katika kuhitimisha mkutano wa sita wa Bunge leo ni pamoja na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga.

Mlinga alihoji uhalali wa baadhi ya Watuhumiwa wa dawa za kulevya kutajwa majina yao kupitia vyombo vya habari.

Related of "'Nipo tayari kumwambia Rais ukweli kuhusu vita ya dawa za kulevya ' -Mlinga"